matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Mar 18, 2011

VIDEO KALI YA INJILI AMBAYO IMEBEBA HISIA. HUYU NI ROSE MUHANDO NA HIZI HISIA ZILIZOGUSA WENGI!!!!

Nyimbo hii ni kati ya nyimbo zilizowahi kuimbwa kwa hisia sana na Rose pamoja na Anastazia. Unawagusa wengi sana huu wimbo. Watumishi hawa wameimba na kuchukua video katika mazingira halisi ya mtanzania. Waimbaji wengine ni vyema waige hapa. Wengi wamezoea kuacti kwenye mazingira mazuri peke yake wakisahau kuwa maisha halisi ya mtanzania bado si mazuri sana. Big up my sisters!!!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...