matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 24, 2011

Hellena ken. Sitarudi kuwa vile.............

Watu wengi huogopa kukabiliana na mabadiliko yanayowakuta kwenye maisha yao. ila hawajajua Mungu wakati mwingine anaruhusu mambo kama hayo yatokee ili wakue kiroho na wafunguliwe milango ya Baraka. unapofukuzwa kazi jua ni hatua moja na nyingine inafuata. usianze kulia kuangalia matatizo yako tu. ila inabidi ufanye juhudi utoke hapo ulipo. kumbuka Mungu hatakuacha. hautarudi kuwa vile tena...piga hatua mpendwa.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...