matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 15, 2012

HUU NDIO USHIRIKIANO UNAOTAKIWA JAMENI ILI KUSONGA MBELE ZAIDI

 
Utajiuliza ule umoja ambao Yesu kriso aliuacha akasema kaeni kwa umoja umekwenda wapi?? ila kwa sasa kama mambo yataendelea kuwa kama hivi walivyofanya hawa kina mama watatu basi ni dhahiri shairi kuwa maendeleo kwenye muziki wa injili yatapatikana na kwa kweli tunapaswa kuiga vitu vyema kama hivi wakati wowote. sikiliza haya mahojiano utafurahia mwenyewe.......

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...