matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 11, 2012

NIPE MACHO NIONE LIVE KWENYE FRIENDS ON FRIDAY. NI CHRISTINA SHUSHO YEEEEEEEEEEEEEEEEEE!

Katika moja ya matukio ambayo huwa watu wengi bado wanajiuliza ni nini ni hili lake sam sasali. hapa wanakutanika marafiki ili kuweza kushare na kupeana mawazo yanayojenga pia kuburudika na nyimbo za injili. hapa tunamuona christina shusho mwenye sauti ya kipekee africa na pia miriamu mauki wakilisongesha songi la nipe macho nione. chek hiyo........

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...