matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 16, 2012

GLORIOUS CELEBRATION WAKIWA KWENYE MOJA YA VIDEO YAO MATATA INAITWA E ROHO. TAZAMA...........

Ni kitu cha kujivunia hapa jijini Dar es salaam kuwa na bendi kama hii ya gospel. tumezoea kuona bendi nyingi za duniani. ila sasa wakati umefika kuwafikia wananchi kwa bendi zinazompa Mungu utukufu ili kubadili maadili ya watu yawe katika hali ya heshima. bendi hii hucheza kwa heshima, huvaa kwa heshima, huimba busara na hata watoto kwa wakubwa wanaweza kutazama bila kipingamizi. mara nyingi inapiga pale atrimus sinza africasana. kwa wapendwa na wasio wapendwa sasa mtoko umepatikana. ndio huuuoooo. hakuna tena kusema tunaboreka weekend hatuna pa kwenda. kawaone hawa gloriuos celebration utasema kuwa hakika jina la Yesu litukuzwe.


Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...