matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 12, 2012

ANGALIA FLORA MBASHA AKIWA ANAPERFOM NA KUNDI LA UIMBAJI HUKO BOSTON MAREKANI ST PAUL CHURCH

 Flora Mbasha akifanya ziara huko Marekani. angalia picha upate muendelezo wa ziara 


                                      HAPA TUKIHUDUMU— at St. Paul's Cathedral, Boston.
 

 MUIMBAJI WA INJILI FLORA MBASHA AKIWA ANAPATA KITU KWENYE FRIDGE HUKO HUKO UGHAIBUNI.




MBASHA AKIOTA MOTO BAADA YA KUMALIZA IBADA KWANI BARIDI ILIKUWA KALI SANA— at St. Paul's Cathedral, Boston.






 TUKIIMBA NA TEAM NZIMA ST PAUL BOSTON at St. Paul's Cathedral, Boston.


 chini: Flora na kundi wakijiandaa kwa ibada ya tarehe 1

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...