matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 10, 2012

TAMASHA LA PASAKA LIMEVUNJA RECORD YA MATAMASHA YA INJILI KUWAHI KUFANYIKA DODOMA

 Mambo yalianza kama hivi hapo juu ambako watu walifurika kushuhudia tamasha hili la pasaka.jukwaa kuu lote full................chini: waimbaji wa glorious celebration wakifanya mambo hapo chini
 chini: Bwana Alex Msama akieleza jambo kwa Mc wa tamasha jumatatu 9/04/2012 dodoma
 chini ni Anastazia Mukabwa akiwa shughulini kumsifu Mungu huku akisapotiwa na wachezaji

 chini: Upendo Nkone mama wa Upendo wa Yesu wanizunguka akishangiliwa kwa vifijo alipopanda jukwaani. watu walijaa uwanjani katikati






 juu: mmoja wa vijana wa siku nyingi ambao wamekuwa katika kundi la rose kama mchezaji akionyesha mambo fulani uwanjani. ilikuwa raha tu. kwa hivi sasa huyu bwana amesharekodi album yake tayari.
 kikundi cha nyati cha utamaduni  kikitumbuiza kwa mbwembe uwanjani dodoma
 Emi Kosgei ambaye ni mkenya akiwa sambamba na dada Anastazia Mukabwa naye kutoka kenya wakitumbuiza katika tamasha la pasaka dodoma
 chini: upendo kilahiro kazini kama kawaida mama wa zingonga ze ziwelale akiwakilisha. watu walipenda show yake
 chini; msama akimkabidhi Mh Job Ndugai CD ya mwanamuziki Solomon Mukubwa inayokwenda kwa jina utukufu wa Mungu ambayo ilizinduliwa rasmi siku jumapili ya pasaka uwanja wa taifa na mh Benard Membe.

 Mkuu wa Mkoa  waa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akipokea CD yake ya Utukufu kwa Mungu kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.
 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa akipokea CD yake ya Utukufu kwa Mungu kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...