matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 2, 2012

The voice ndani ya ukumbi wa makumbusho karibu na IFM jijini dar es salaam wakifanya live recording yao iliyosimama. Soma hii hapa.......

Ilikuwa ni saa tatu usiku katika ukumbi wa Jumba la Makumbusho unaotazamana na chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM) jijini Dar es salaam. Kundi maarufu la muziki wa injili kwa mtindo wa  Akapela lijulikanalo kama THE VOICE lilifanya kurekodi kazi yao adhimu na nzuri ya video ya live.
 






Atukuzwe Mungu kwa sababu waliweza.Vijana watano ambao kati yao wanne wanatoka katika familia moja,lilianza kuimba nyimbo ya kwanza iliyopokelewa vifijo ukumbini hapo iitwayo KWENYE MAVUNO, kisha wakaimba nyimbo yao maarufu NAJIVUNIA YESU WANGU kwa Kimasai. Minister Godwin Gondwe, aliwakaribisha wageni wote waalikwa kisha shughuli akaanza.Hii ni moja kati ya Live DvD album ambayo ikitoka hutakiwi kuikosa. kaa chonjo kwa uzinduzi wa hii album.......... iyelele team inawapa vijana wa the voice heko.............pamoja sana

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...