matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 22, 2012

JOHN SHABANI JUKWAANI TENA KWENYE WORSHIP HOUR T.A.G MAGOMENI DAR ES SALAAM TAR 10/06/2012 SAA 8 MCHANA

Baada ya kufanya vizuri katika kuwaongoza waimbaji wa injili nchini Tanzania na kuimba wimbo maalumu wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru Tanzania, sasa ameaandaa tamasha la kuabudu litakalofanyika katika kanisa la TAG Magomeni siku ya tarehe 10.06.2012 kuanzia saa 8:00 mchana
Mgeni rasmi ni Waziri wa Habari , Vijana na utamaduni, Dr. Fenella Mukangara.
Pia waheshimiwa mbambali, Maaskofu, wachungaji, viongozi mbalimbali wamethibitisha kuhudhuria siku hiyo. Itakuwa ni siku ya kwaya, bandi na waimbaji binafsi kumwabudu Mungu pamoja, wakiongozwa na watumishi mbalimbali.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...