matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 17, 2012

KALI YA WIKI HII KWA WATAZAMAJI WA IYELELE BLOG.

Mfanyakazi wa Radio Clauds FM, Said Mohamed 'Said Bonge' akipanda migomba kwenye mashimo ya barabara ya Mwananyamala Hospitali Dar es Salaam leo huku gari likipiata kando yake. Bonge alisema amechukua uwamuzi huo baada ya wahusika kushindwa kuyafukia mashimo hayo ambayo yamekuwa yakileta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.

KWA KWELI SERIKALI YETU INABIDI IFANYE JAMBO KUHUSU HIZI BARABARA ZA MJINI KWANI JAMANI WATU WANAHARIBU MAGARI YAO NA PIA AJALI ZINAONGEZEKA. HONGERA BONGE UMEPELEKA UJUMBE....................

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...