matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 28, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA KATIKA TAMASHA LA WEZESHA UPENDO RADIO 107.7 FM LILILOFANYIKA DIAMOND JUBILEE JUMAPILI TAR 27 MAY

 Kwaya Kutoka K.K.KT Azania Front Kwaya toka K.K.K.T Vetenary Vikundi vya Kwaya mbalimbali.


  CVC on da stage.picha by K-junior blog


  JENNIFER MGENDI AKIIMBA

BROTHER JOSHUA AKIIMBA JUKWAANI 


 Muimbaji wa Muziki wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia Congo,Faraja Ntaboba akiimba moja ya nyimbo zake katika hafla hiyo.


  Muimbaji wa Muziki wa Injili kutoka nchini Kenya,Sarah K akiimba moja ya nyimbo zake katika hafla hiyo. 


 Kwaya ya Vetenary KKKT.


 Mh Lowasa akiwa na mwanamuziki kutoka Kenya Sarak K katika tamasha la Upendo Radio siku ya jana


Mheshimiwa Edward Lowasa mgeni maalum akisalimiana na Askofu mstaafu Elinaza Sendoro wa K.K.K.T. 
MHESHIMIWA LOWASSA ALICHANGIA SH MILIONI 10 KATI YA MILIONI 220 ZILIZOHITAJIKA. HATA HIVYO TAMASHA LILIWEZA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 100. TO GOD BE GLORY

SOURCE: http://gospelkitaa.blogspot.com/ 

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...