matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jun 9, 2012

KIBWAGIZO FROM JOHN KITIME FACEBOOK PROFILE TENA

Mzee mmoja kaibiwa waleti yake kwenye daladala, akasimama akatangaza
MZEE: Jamani nimeibiwa pochi yangu. Ninachoweza kusema humo ndani kulikuwa na nauli yangu, sasa nawaambia hivi, aliyechukua hiyo pochi ajue nisporudishiwa hiyo pochi nitafanya kilekile nilichofanya mwaka 1968 nilipoibiwa pochi siongei tena. Mzee akakaa. Baada ya sekunde chache za ukimya teja mmoja akainuka kwenye kiti chake na kumrudishia mzee pochi yake na kuomba sana msamaha. Wakati safari inaendelea jamaa aliyekaa jirani na mzee akamuuliza,'Kwani mzee mwaka 1968 ulifanya nini?'
MZEE: Mwanangu waliponiibia mwaka 1968 nilishuka kwenye basi nikalazimika kutembea kwa miguu kumaliza safari.

GOOOOOOD  NIGHT MDAU!!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...