matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jun 15, 2012

KIBWAGIZO FROM JOHN KITIME FACEBOOK PROFILE


DEVI : Haya mama fanya chapchap nipe wali samaki
MAMANTILIE: Kichwa au mkia
DEVI: Mkia
MAMANTILIE: Hata siku moja sijawahi kukuona ukila kichwa
DEVI: Sigusi kichwa, pengine samaki alikuwa chizi kabla hajavuliwa?

good night people!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...