matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Mar 29, 2013

BREAKING NEWS-DARESSALAAM; JENGO LA GHOROFA ZAIDI-YA-15 LAANGUKA KATIKATI YA JIJI





 WATU-WAKIZUIWA-KUEPUSHA-MAJERUHI-ZAIDI
 MSIKITI-UPO-CLOSE-HIVI-USHUHUDIE
 WATU-WAKIELEKEA-SEHEMU-YA-AJALI

KAZI-YA-UOKOAJI-YAHITAJI-MAARIFA-KWELI

KOVA-PAMOJA&-MHESHIMIWA

  Mtoto Maisamali Karim (6) ambaye ameokolewa kutoka katika madrasa ya Msikiti wa Khoja Shia Ithna Asheri Jamaat iliyoangukiwa na jengo hilo katika mtaa wa Indira Gandhi.

 Waokoaji.

  Hizi nia aina ya nondo ambazo kimsingi sio imara kuweza kuhimili ujenzi wa ghorofa ndefu kama hili, kuna haja mamlaka husika likatupia macho kampuni za ujenzi ili kuokoa maisha ya wajenzi na watumiaji wa majengo hayo.
 ```23



 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum (CP), Suleima Kova akiwa katika eneo la tukio. Kulia ni Mbunge wa viti maalum (NCCR-Mageuzi James Mbatia.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...