matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 10, 2015

PICHA KATIKA MATUKIO JINSI DAR ES SALAAM JIJINI KULIVYOKUWA NA MAFURIKO PANDE ZOTE

 Ilikuwa ni hatari sana wiki hii ilipoanza na mvua kubwa hata kuathiri miundo mbinu ya jiji la dar es salaam

 tujaribu kupita kama tutafanikisha ndo ulikuwa mtindo. watu wengi wameathirika na mvua hizi


 ilibidi kuongozwa kwa kuwa usingeweza kujua kama mbele yako kuna shimo ama la!!!??
wengine ilibidi wabebwe kwenye migongo ya wenzao ili waweze kuvuka bila kuloana nguo zao

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...