matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa
Feb 26, 2011
AMBWENE NA UGHANI WA MASHAIRI HAYA YANAONYESHA UMAHIRI MKUBWA SANA!!!
Ambwene kwa Muda Mrefu sana amevuma na vibao vingi kama mmoja wa majaribu ni mtaji. Mashairi ya nyimbo zake yamejaa lugha za picha.ama kwa hakika hapana shaka ukiwa unasikiliza ujumbe wake utatambua kuwa huyu si muimbaji tu ila ni muinjilisti pia. lazima utafakari sana unaposikiliza nyimbo za mtumishi huyu kwani zinatungwa kwa umakini wa hali ya juu. kama huu wa harusi ya shetani. Big up kaka tuko pamoja...........unatugusa mno.