TAARIFA ZA AWALI ZA BLOG MBALIMBALI ZILIKUWA HIVI....
katika orodha hii ya wakongwe yumo pia Rais wa Cameroon Mh Paul Biya mwenye umri wa miaka 79, Rais Biya yeye amekuwa kwenye uongozi kwa takribani miongo mitatu na bado hajaonyesha nia ya kuachia madaraka wakati Rais mpya wa Sadc Mh Michael Sata wa Zambia yeye anaumri wa miaka 79 na kwa muda sasa na ameripotiwa kusumbuliwa na maradhi mbalimbali. Nchini Malawi wamalawi nao wanamuhusisha Rais mkongwe wa nchi hiyo Mh Bingu Mutharika(79) katika kundi hilo na unabii wa Tb Joshua.
HII NI AJABU NA KWELI ULE UTABIRI WA NABII TB JOSHUA AMBAYE BLOG HII ILIMRIPOTI KUTABIRI KIFO CHA MMOJA WA MARAISI WAKONGWEE HAPA AFRICA UMEKUWA KWELI NA AJABU. KUNA TAARIFA ZINASEMA KUWA RAIS BINGU MUTHARIKA WA MALAWI AMEPATA MSHITUKO NA KUFARIKI. BLOG HII ITAKUPA TAARIFA KAMILI KADIRI ITAKAVYOPOKEA...........
Source: BBC
President Bingu wa Mutharika of Malawi has died, doctors and cabinet ministers have told the BBC, but the lack of a formal announcement is leading to widespread anxiety.
Mr Mutharika, 78, suffered a cardiac arrest on Thursday and state media say he was flown to South Africa for treatment.
...
According to the constitution, the vice-president takes over if the head of state is incapacitated or dies in office.
But Vice-President Joyce Banda and Mr Mutharika fell out after a row over the succession in 2010, and she was expelled from the ruling Democratic People's Party (DPP).