matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 24, 2011

FLORA MBASHA ; FURAHA YAKO

Kuna jambo la tofauti sana kuhusiana na nyimbo za dada Flora. Ukisikiliza nyimbo zake za mwanzo au style aliyokuwa akiitumia mwanzoni ni tofauti sana na hii ya sasa ambayo ime base S. African style. Mungu amempa kipaji ambacho anaweza kubadilika kabisa kiladha. kubwa zaidi ni kundi lake la vijana wanaocheza. hili ni la tofauti kabisa na makundi mengine. hata style wanazocheza zina vionjo vipya na kwa ujumla kundi linabariki wengi. huyu ndiye Flora Mbasha.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...