matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Oct 2, 2011

Josephine Nkila katika live recording ya video yake pale upanga

Ki ukweli kabisa hapa tanzania ni wanamuziki wachache sana walioweza kufanya live recording. ila huu ni mwanzo mzuri sana na unatia hamasa kwa sababu utajiuliza ni kwa nini hatujaweza!!?? Josephine Nkila anafanya hivi kwa mara ya pili hapa dar es salaam. ikiwa tu ni baada ya kuzindua dvd yake live pale DPC church miaka michache iliyopita. hii video ya sasa ni nzuri na inampa Mungu utukufu/ tunawapongeza waandaaji. big up!!!!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...