matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Oct 7, 2011

Rivers of live revolution in Praise and Worship....mlimani city hall Dar es salaam 2010

 
Sifa Zivume ni brand moja hapa tanzania ambayo inaleta changamoto kubwa sana katika uandaaji wa matamasha ya injili. hii ya sifa zivume iliyofanyika 2010 ilikuwa nzuri sana. tunaweza kusema kuwa hili ndo tamasha la kwanza la live recording kubwa kushinda mengine ambayo yamewahi kutokea hapa tanzania. Kundi hili kwa ujumla wake linaitwa rivers of life na linapatikana katika kanisa la DPC pale kinondoni karibu kabisa na makaburi ya kinondoni. Mungu apewe sifa sana. Wakati huo huo uzinduzi wa audio ya tamasha hili umeshafanyika pale DPC. Hakika tukiamua tunaweza. Sifa kwa bwana Yesu.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...