matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 24, 2012

FRIENDS ON FRIDAY CHINI YA RAIS WAKE SAM SASALI INAFANYIKA TENA TAREHE 2 MARCH 2012 EPISODE 7 PALE TAMAL HOTEL MWENGE

Ni wakati mwingine tena wapendwa woote ambao hupenda kujumuika pamoja kukutana kwa mara nyingine tena pale tamal hotel mwenge kwa tukio zuri sana la friends on friday. Mara zote mkutano huu hufanywa wakati wa jioni kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa tano. hii ni kwa sababu pia watu wengi wanakuwa wamesharudi kutoka makazini hivyo kupata fursa  ya pamoja kujumuika. Wakati huu imetangazwa white party ikimaanisha kuwa watu itabidi wavae white zaidi ili kupendezesha usiku huo adhimu. iyelele team na wadau wake wote tunapenda kuwasihi watu wote kwenda pale ili kushirikiana na kujenga urafiki na watu mbalimbali. maana yake kwa lugha ya kiingereza ni kwamba una kuwa exposed. Sam Sasali na wadau wote wa friends on friday tunawapa shavu. pamoja sana!!!!!!!!
                              

Hapo chini ni moja ya mitoko ya mavazi wa friends on friday funs wakati uliopita  palepale tamal hotel Mwenge






Mr Sam Sasali aka Papaa akiwa pichani amevaa kimasai kwenye moja ya tukio la friends on friday!!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...