matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 22, 2012

Tb joshua atabiri kifo cha Rais mkongwe africa kama kusipofanyika maombi kumuombea.

Maneno yake yamezua hofu kubwa kwa watu wa zimbabwe ambapo hivi sasa Rais Mugabe amekabiliwa na matatizo ya kiafya kutokana na uzee wake. japo kuwa TB Joshua hakusema ni rais gani au nchi gani ila alichosema atasema ni nchi ipi na rais yupi kwa sababu ameonyeshwa pindi tu itakapofikia wakati hakuna cha kufanya kunusuru uhai wa huyo rais. marais ni wengi ambao wamezeeka ikiwemo Rais wa Senegal Mh Abdoulaye Wade mwenye miaka 85 ambaye anaheshimika sana kisiasa kwa kuwa upande wa upinzani kwa miaka ipatayo ishirini kabla hajaingia madarakani. Mwingine ni Rais wa Kenya Mh Mwai Kibaki mwenye umri wa miaka 81.

katika orodha hii ya wakongwe yumo pia Rais wa Cameroon Mh Paul Biya mwenye umri wa miaka 79, Rais Biya yeye amekuwa kwenye uongozi kwa takribani miongo mitatu na bado hajaonyesha nia ya kuachia madaraka wakati Rais mpya wa Sadc Mh Michael Sata wa Zambia yeye anaumri wa miaka 79 na kwa muda sasa  na ameripotiwa kusumbuliwa na maradhi mbalimbali. Nchini Malawi wamalawi nao wanamuhusisha Rais mkongwe wa nchi hiyo Mh Bingu Mutharika(79) katika kundi hilo na unabii wa Tb Joshua.


TB Joshua is the leader of the Synagogue Church of All Nations (Scoan), based in Nigeria.

Joshua, who commands a large following in Nigeria and beyond, said an African leader would die within 60 days. He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around.

“God loves us, you should pray for one African head of state, when I say President… again the sickness that is likely to take life; sudden death, it could be sickness being in the body for a long time but God showed me the country and the place but I’m not here to say anything like that."

“When it’s too close and there is nothing I can do about it, I’ll mention it clear; the place, the country and the person so that they can see what they can do to rescue him. Okay, it is very close. Jesus loves us. Wave your hand, wave your hand,” TB Joshua was quoted as saying by the online publications.

His prophecy immediately attracted the attention of Zimbabweans who began posting their own conclusions on social networking sites such as Facebook.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...