matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 6, 2012

BREAKING NEWS: KANUMBA KAFARIKI DUNIA LEO 07/04/2012

Steven Charles Kanumba ni msanii wa maigizo na filamu nchini Tanzania. Alizaliwa tar. 8 Januari, mwaka 1984 huko mkoani Shinyanga. Amefariki tar. 7 Aprili, mwaka 2012
Nyota imefififa, mitaa inarindima kwa huzuni wakati ambapo mkali wa filamu Steven Kanumba akiwa hayupo tena hapa duniani. ilikuwa usk wa tarehe 7/4/12 ambapo kifo kilimkuta nyumbani kwake sinza vatcan kwa kuanguka ghafla. haijafahamika dhahiri shahiri kama alikuwa akiumwa kwa muda ama amedondoka kwa sababu gani.Vyovyote iwavyo kila mtanzania atakuwa ameguswa na huu msiba. Rest in Peace Kanumba the great.


 MATUKIO PICHANI TANGU JANA USK

JUU NI WATU WAMEKUSANYIKA NJE YA NYUMBA YA MAREHEMU  KANUMBA KWA MSHTUKO
 JUU; WEMA SEPETU (MUIGIZAJI)  NA WENZAKE MSIBANI
 JUU; MDOGO WA KANUMBA AKIELEZA JAMBO KWA WAANDISHI
 JUU; IRENE UWOYA AMEZIMIA KWA MSHTUKO WA MSIBA WA THE GREAT KANUMBA

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...