matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 7, 2012

UNABII WATIMILIKA; TB JOSHUA ALITABIRI KIFO CHA RAIS BINGU MUTHARIKA WA MALAWI



 TAARIFA ZA AWALI ZA BLOG MBALIMBALI ZILIKUWA HIVI....
katika orodha hii ya wakongwe yumo pia Rais wa Cameroon Mh Paul Biya mwenye umri wa miaka 79, Rais Biya yeye amekuwa kwenye uongozi kwa takribani miongo mitatu na bado hajaonyesha nia ya kuachia madaraka wakati Rais mpya wa Sadc Mh Michael Sata wa Zambia yeye anaumri wa miaka 79 na kwa muda sasa  na ameripotiwa kusumbuliwa na maradhi mbalimbali. Nchini Malawi wamalawi nao wanamuhusisha Rais mkongwe wa nchi hiyo Mh Bingu Mutharika(79) katika kundi hilo na unabii wa Tb Joshua.
HII NI AJABU NA KWELI  ULE UTABIRI WA  NABII TB JOSHUA AMBAYE BLOG HII ILIMRIPOTI KUTABIRI KIFO CHA MMOJA WA MARAISI WAKONGWEE HAPA AFRICA UMEKUWA KWELI NA AJABU. KUNA TAARIFA ZINASEMA KUWA RAIS BINGU MUTHARIKA WA MALAWI AMEPATA MSHITUKO NA KUFARIKI. BLOG HII ITAKUPA TAARIFA KAMILI KADIRI ITAKAVYOPOKEA...........



Source: BBC

President Bingu wa Mutharika of Malawi has died, doctors and cabinet ministers have told the BBC, but the lack of a formal announcement is leading to widespread anxiety.

Mr Mutharika, 78, suffered a cardiac arrest on Thursday and state media say he was flown to South Africa for treatment.
...
According to the constitution, the vice-president takes over if the head of state is incapacitated or dies in office.

But Vice-President Joyce Banda and Mr Mutharika fell out after a row over the succession in 2010, and she was expelled from the ruling Democratic People's Party (DPP).

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...