matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 5, 2012

BREAKING NEWS: GODBLESS LEMA APIGWA CHINI KITI CHA UBUNGE ARUSHA.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema leo amevuliwa kiti cha Ubunge baada ya kushindwa katika kesi ya kupinga ubunge wake iliyotolewa hukumu leo.
Kesi hiyo iliyofunguliwa na makada watatu wa CCM, Agness Mollel, Mussa Mkanga na Happy Kivuyo ambao walikuwa wanamtuhumu mbunge huyo kwamba alitoa kauli za udhalilishaji, matusi na kashfa kwa aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, Dk Batilda Burian imetolewa hukumu na jaji Gabriel Rwakibarila.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...