matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 7, 2012

Je hili liwe vazi la taifa???

Kumbe hata watu wakivaa nguo za asili wanapendeza eeeh. Pichani ni mwanamuziki wa nyimbo za injili Bahati Bukuku. maoni yako yanahitaka mdau katika chat room kuwa je unaonaje vazi hili likawa vazi letu la taifa 2012. kwa muda mrefu sasa bahati hajatoa album yake kama bahati. ila hivi punde tutawarushie nyimbo amabayo bahati ameimba inaitwa lazima usamehe ili Mungu akuinue. Andika maoni juu ya muimbaji huyu hapo chat room.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...