matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 18, 2012

KIBWAGIZO FROM JOHN KITIME FACEBOOK PROFILE leo

Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji zima bure. Baada ya kuona wiki imepita halijachukuliwa, akaandika FRIJI INAUZWA LAKI 3, usiku uleule likaibiwa.

usk mwema mdau wa blog.

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...