matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

May 19, 2012

KIBWAGIZO FROM JOHN KITIME FACEBOOK PROFILE TENA

Vijana walikutana kwenye mnuso, ukaanza wakati wa kujitambulisha
Jamaa 1: Naitwa Devi natoka MUHS nasoma Utabibu
Jamaa 2 :Naitwa Yohana natoka MuCCoBS nasoma biashara
Jamaa 3: Naitwa Yusi natoka UDSM nasoma Sheria
Jamaa 4: (Kapata kigugumizi kwanza) Naitwa Gwalu eh eh natoka TANESCO nasoma mita


good night

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...