matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 30, 2014

CALVARY TEMPLE LEO 31st jan 2014 ni KUSIFU NA KUABUDU...!! Ni arusha calvary temple usikose leo

      ARUSHA KUMEKUCHA KWANI HIVI LEO WAPENDWA WOOTE NI PALE CALVARY TEMPLE. Ni mkesha ambao utafanyika leo pale Arusha calvary temple. Mkazi wa arusha na Moshi, pamoja na mitaa Yake kweli hii ni muhimu uweze kupokea baraka zako mwaka huu.   Uje kusifu na kuabudu ili Mungu wetu wa mbinguni ainuliwe na ashushe baraka ZAKE. Muda ni KUANZA jioni mPAKA KUCHEEEEEEE!!!

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...