matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 2, 2014

FRIENDS ON FRIDAY ILIBAMBA HATARI SIKU YA 31st JAN 2014. HUU ULIKUWA MTOKO WA KWANZA RASMI KWA WADAU WA INJILI HAPA DAR ES SALAAM PALE TAMAL HOTEL

PICHA MATUKIO KADHAA NDANI YA FOF JANUARY,...............
Stage ilikuwa poa sana na hata kulikuwa na space ya kuweka kwaya kubwa kabisa. Good arrangement.....



Watu maarufu kama Miriam Lukindo wa Mauki alikuwepo kusherehesha shughuli kwa njia za kuimba nyimbo mbalimbali stejini....Tabasamu lake sasa...!!!! chezea Miriam....


Watu wakimsikiliza Ze blogger na mtayarishaji, Mc, presenter, mwalimu, comedian Ndugu Samuel Sasali.

Kijitonyama Uinjilisti kwaya kubwa hapa Tanzania ndiyo iliyokuwa kama chachu na live band rasmi iliyoimba kwa muda mrefu nyimbo nyingi sana ukiwemo wa "NDANI YA SAFINA, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, TUMPEPEFYE  A zambian song, na nyingine nyingi kadhaa)

Sam sasali, Morgan wa kijitonyama kwaya KKKt, na uncle Jimmy Temu Presenter wa clouds Tv wakifurahia burudani ya Kwaya ya kijitonyama.





chezaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Catherine naye akifuatilia show kali za watu mbalimbali. Huyu hasa ndiye fiancee wa Pius Senyagwa....
Mkurugenzi wa Iyeleleteam productions limited akienda sawa sawa na event. Huyu ndiye hasa mwanzilishi wa blog ya iyelele team na pia muimbaji wa nyimbo za injili...
Sam akimtambulisha Angel Bernad na nyimbo yake kali sana Reign...........very awsome one...............

Angel Bernad akifanya mambo hapo so mchezo. ilibidi arudie tena nyimbo hiyo kwa kuwa watu hawakushiba kwa utamu wa sauti yake ya kumuinua Mungu. Reign!!!!!!


He mara!!!!!!!! watu wakasimama he mbona kazi ameanzisha Miriam Mauki stegini.


watu wameongezeka aisee mbona wameshindwa kukaa vitini

 Chriss Mauki akitoa mada motomoto inayohusu aina ya group za watu na tabia zao. Alisema watu group A wenye viherehere na group B wenye utulivu uliopitiliza.

haya watu wamefurahia wanafuatilia kwa karibu kila kinachoendelea

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...