matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Feb 4, 2014

MWANZA CITY 16/2/14 NI UJIO WA DEVINE HERITAGE CONFERENCE PALE MIDLANDHOTEL MWANZA-hakuna kiingilio USIKOSE!!!


Wakazi wa Jiji la mwanza kwa Mara nyingine tena tamasha la kusifu kuabudu na kumuadhimisha bwana wa mabwana Yesu Kristo litafanyika pale MIDLAND HOTEL Kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni au zaidi. HAKUNA KIINGILIO kabisa ni BUREEEEE!!!! Kumbuka wale watumishi ambao MUNGU amewapa neema ya kufanya kitu kwa ajili ya kubadilisha maisha yako ambao ni PASTOR GOODLUCK KYARA kutoka NVCC; PASTOR DENNIS SEBASTIAN Kutoka MICC na PASTOR BILLY BROWN kutoka NCC, watakuwepo kukuhudumia wewe utakayehudhuria hili tamasha. Mada kadha wa kadha zitatolewa kukujenga wewe kiroho zaidi. Praise kutoka sehemu mbali mbali akiwemo praise and worship Tafes, na Epafrodito kechengwa watakuwepo kushusha UPAKO wa kumsifu na  MUNGU WETU JEHOVA. USIKOSE WEWE MKAZI WA MWANZA NA KANDA YA ZIWA VICTORIA. 

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...