matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa
Dec 3, 2011
J SISTERS WAKIWA KATIKA MOJA YA VIDEO YAO - NIMEPATA
Japo wengi hujiuliza inakuwaje hawa wote wajue kuimba. je ni mazoezi peke yake au ndo nini. kimsingi huwezi kusema ni mazoezi ila hivi ndivyo Mungu alitaka wawe, na hata kama mazoezi yamewasaidia basi kila mtu angeweza kuimba kwa umahiri. hii ndiyo kazi ya roho mtakatifu akiamua kuinua familia ya uimbaji anafanya.........mabinti hawa kwa sasa kati yao wanasoma ughaibuni huko marekani. Ashukuriwe Mungu kwa kuwa kazi yao ni nzuri sana. angalia hiyo hapo juu.