HAPA NI PICHA NA MATUKIO WAKATI WA AFLEWO 2012;
CHINI NI PRAISE MASS CHOIR IKIMSIFU MUNGU
CHINI. NI THE VOICE AMBAO WALIPAMBA USIKU HUO KWA NYIMBO ZAO NZURI NA ZA KUVUTIA
JUU: WATU NDANI YA UKUMBI WA CITY CHRISTIAN CENTER. ILIKUWA NZURI SANA HAKUNA MAELEZO KABISA