Upendo kilahiro akiwa na balozi wa Tanzania nchini Canada Mh Massinda
Mwanamuziki wa injili kutoka nchini Tanzania Upendo kilahiro, anatarajia kuhudumu katika Ibada ya kusifu itakayofanyika asubuhi ya tarehe 6th 05.2012 katika kanisa la Toronto International Community Church(TICC) lililoko 190 Railside Road Toronto nchini Canada.
You might also like:
Upendo kilahiro akiwa na balozi wa Tanzania nchini Canada Mh Massinda