matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Apr 15, 2012

UNYAKUO UPO KARIBU SANA WAPENDWA- soma hii hapa leo jumapili 15-04-2012

Dear brothers and sisters,
I just attached something good to read,
-    Je wajua chapa ya mpinga kristo, chukizo la uharibifu haswa kabisa vitakuwepo baada ya unyakuo?


 HIZI HAPA NI BAADHI YA ALAMA ZA MPINGA KRISTO 666

AONAYE NA AFAHAMU










(kitendo hicho cha unyakuo hakitaonwa na wengi ni ghafla itatokea kupotea kwa watu duniani )  ndipo dhiki kuu itatokea hapatakuwa tena na neema ya Mungu ila mateso katika maisha , shetani plus ghadhabu ya Mungu kwa waliochezea neema ya Mungu vitapelekea hii inayoitwa dhiki kuu na kisha Yesu atashuka katika milima ya mzeituni baada ya dhiki kuu   Math 24:29 waweza kuita mara  hii ni ya pili baada ya unyakuo ambapo hapo atakuja na  mamlaka na utukufu na vita kuu itapiganwa almagedon  na Yesu atashinda UFU 16:16 (Yawezekana ni vita vya tatu ya dunia) makao ya Yesu yatakuwa Jerusalem,  Unyakuo upo karibu kwa sababu maandalizi ya UN, urusi, china,Iran nuclear na mambo ya syria na muunganiko wa mataifa ya ulaya  na migogoro mibaya iliyoanza kilele chake hakitawapata  sana wateule wa sasa watakuwa wamenyakulia kama Henoko alivyonyakuliwa kabla ya gharika.
Kipindi cha dhiki kuu  (Miaka saba ) baada ya unyakuo wateule wa Mungu   na kabila 12 za Israel, yaani watu 144,000 wa israeli Mungu atawatunza watahifadhiwa kama Nuhu katika gharika.  Ufu 7:4-9.  katika kipindi hicho cha dhiki kuu wapo wateule wengine watakaopona kwa kukataa chapa ya mpinga kristo ila watapona kwa damu zao wenyewe na mateso mabaya Ufu 7:14   
-   Kwa sasa haitupasi kutembea na mizigo ya dhambi kulemewa na mipango mingi,   I Tim 6:3-10  kutafuta heshima au umaarufu wa kitambo ni bora kufa katika Bwana ili akija ktk unyakuo tupite katika nafasi ya kwanza ya  kufufuliwa na kumlaki mawinguni, wasamehe watu tua mizigo au mambo yanayokulemea (travel light). Mungu hakusudii kuwatesa wanadamu ndio maana amemtoa Yesu afe Yoh 3:16 Kwa maana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu ili .................. 
kurudi kwa Yesu kumeandikwa mara nyingi katika biblia kuliko kuzaliwa kwake.
-  Baada ya unyakuo na baada  ya Yesu kurudi tena na utukufu wake katika mlima mzeituni na Yerusalemu mpya  iliyopambwa napenda ujue kwamba  sehemu inayoitwa kuzimu na mauti mahali walipoenda watu wenye dhambi na mapepo itaendelea kuwepo tena kwa miaka 1000 humo hadi sehemu hiyo ( kuzimu na mauti ) itakapo tupwa motoni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti  hii ndio mauti ya pili UFU 20:14 


SOURCE: ANDREW from Arusha Tanzania

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...