HABARI PICHANI HAWA GLORIOUS CELBRATION WAKIIMBA BETHEL TAG ARUSHA MJINI KATIKA MOJA YA UZINDUZI WA RUACH WORSHIP TEAM
Glorious Celebration wakipata Braekfast iliyoandaliwa na kanisa la Bethel
Mtumishi wa Mungu wa kanisa la TAG Bethel, mzee Mbilla akiwa na furaha wakati wa praise and worship
Glorious Celebration wakiwaimbia watoto baada ya chakula cha mchana
Emmanuel Mabisa akiimba wimbo wa Niguse
Glorious wakipata chakula cha mchana katika kanisa la TAG Bethel Arusha
Glorious Celebration wakimtumikia Mungu katika kanisa la TAG Bethel kabla ya Tamasha
ZAIDI SANA:
Mpaka sasa wametimiza mwaka mmoja tangu wameanzisha bendi yao na wametoka na album ya NIGUSE….hata hivyo kama watu walivyozoea kila Ijumaa kuwaona THE ATRIUMS HOTEL, kwa sasa itakuwa wanamtukuza Mungu kila ijumaa ya mwisho wa mwezi, viwanja vile vile.
Alkadhalika kundi hili linaundwa na waimbaji mahiri wanaosikika kwenye soko la muziki wa injili na wengine chipukizi wanasikika. Band hii inalelewa na msimamizi mkuu Bishop Mwakang’ata wa Full victory Gospel Church ya Chang’ombe Temeke, Dar es salaam.