matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa
May 9, 2012
KIBWAGIZO FROM JOHN KITIME FACEBOOK PROFILE
Mchungaji alikwenda kumtembelea muumini wake, akagonga mlango mtoto wa muumini akafungua mlango," Hujambo mtoto? Mama yako yupo? Hebu mwite" Mtoto akaita kwa nguvu,'Mama mama yule anaefanya kazi kwa Mungu kaja'