juu: Wakati
Shughuli ikiendelea Bloggers walikuwa Kikazi zaidi, hapa Papaa Ze
Blogger mr sam sasali akiwa na Victor wa Hossana Inc ndani ya Atriums.
ERICK BRIGHTON
Usiku wa jana Katika Ukumbi wa Atriums wadau wa Muziki Wa Injili wamekutana pamoja na kwa umoja na kupata burudani mwanana.
Kusanyiko hilo limewakutanisha Waimbaji wa
Muziki wa Injili, Maproducer wa Muziki wa Injili, Watangazaji wa Redio
na Tv Za Kikristo, Waandishi wa habari na Bloggers wa Kikristo.
Usiku huo uliopambwa na burudani na vinywaji
ni kwa ajili ya Kumpongeza na Kum-Support Erick Brighton ambaye ni
Mtangazaji wa Radio bora kabisa ya Muziki wa Injili Praise Power Fm.
Erick ambaye siku ya Jumapili alitangaza nia ya Kuoa katika Kanisa la
Mikocheni B.
chini: Wadau ndani Ya Atriums Hotel.
watu kibao hapo kwenye tukio
Bloggers wakimuweka Mtu kati mwenye shughuli kumbe Jamaa kalala huku kasimama.
RIPOTI HII NI KWA HISANI YA BLOG MAKINI YAKE SAMSASALI aka pAA http://samsasali.blogspot.com/
You might also like: