Kwaya Kutoka K.K.KT Azania Front Kwaya toka K.K.K.T Vetenary Vikundi vya Kwaya mbalimbali.
CVC on da stage.picha by K-junior blog
JENNIFER MGENDI AKIIMBA
BROTHER JOSHUA AKIIMBA JUKWAANI
Muimbaji wa Muziki wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia Congo,Faraja Ntaboba akiimba moja ya nyimbo zake katika hafla hiyo.
Muimbaji wa Muziki wa Injili kutoka nchini Kenya,Sarah K akiimba moja ya nyimbo zake katika hafla hiyo.
Kwaya ya Vetenary KKKT.
Mh Lowasa akiwa na mwanamuziki kutoka Kenya Sarak K katika tamasha la Upendo Radio siku ya jana
Mheshimiwa Edward Lowasa mgeni maalum akisalimiana na Askofu mstaafu Elinaza Sendoro wa K.K.K.T.
MHESHIMIWA LOWASSA ALICHANGIA SH MILIONI 10 KATI YA MILIONI 220 ZILIZOHITAJIKA. HATA HIVYO TAMASHA LILIWEZA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 100. TO GOD BE GLORY
SOURCE: http://gospelkitaa.blogspot.com/