HUYU SI NDIYE YULE MUIMBAJI WA CONGO. FARAJA NTABOBA, KUMBE NAYE ALIKUWEPO. BASI MAMBO YALIKUWA SHWARI SANA
HATA MZUNGU ALIKUWEPO. i like this
MIRIAMU LUKINDO WA MAUKI ALIKUWEPO NDANI
STARA THOMAS ALIKUWEPO PIA. Stara Thomas na Miriam Lukindo
WADAU WAKITABASAMU. FOF RAHA BWANA WE ACHA TU
LOGO YA JANA
SAM NA MDAU MWINGINE
MC LUVANDA NDANI YA FOF
Blogger akiwa Busy kuandaa Zawadi Za Kwenye Game iliyochezeshwa leo hii. Mdau akichagua Zawadi sawa sawa na namba ya ushindani
DANCE TO THE LORD
Kushoto ni Chris Mauki, Anorld Kayanda wa Clouds FM kipindi Cha Jahazi, Ze Blogger na Mc Luvanda Ndani Ya FoF Mwanamuziki Maarufu Kutoka Katika Nchi Ya Congo mwenye Jina la Faraja Akiingia ndani ya FoF
Hata Anold Kayanda alikuwepo.