Huu ulikuwa ni mkesha ambao ulijumuisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kwa lengo la kumtukuza Mungu na kumsifu katika kanisa la Wakatoliki waliookoka.
Glorious Celebration waliaalikwa kwaajili ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Mbali na uimbaji GC walionekana kuingia katika huduma nyingine ya maombezi hasa pale Paul alipoimba wimbo wa mwimbaji wa Zambia, Ephraim Sekeleti. Wanavyuo walionekana kulia na kububujika kwa machozi.
Mercy akiiumba wimbo wa Niguse
Aron alijikita katika kumuimbia Bwana kwa style ya sebene
Paul alipowagusa watu kwa wimbo wa Usielala wa Ephraim sekeleti ambao uliwafanya wanavyuo kutoa machozi
Baadhi ya waimbaji kutoka vyuo mbalimbali
mambo yalikuwa mazuri kwa kweli
Huu ulikuwa ni mkesha ambao ulijumuisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kwa lengo la kumtukuza Mungu na kumsifu katika kanisa la Wakatoliki waliookoka.
Glorious Celebration waliaalikwa kwaajili ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Mbali na uimbaji GC walionekana kuingia katika huduma nyingine ya maombezi hasa pale Paul alipoimba wimbo wa mwimbaji wa Zambia, Ephraim Sekeleti. Wanavyuo walionekana kulia na kububujika kwa machozi.
source; http://www.rumaafrica.blogspot.com/