JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungama
PADRI: Haya
JAMAA: Niliiba kamba
PADRI: Kamba?
JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng'ombe
PADRI: Kwa hiyo uliiba ng'ombe?
JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng'ombe
PADRI: Mi naona mueleze Mungu direct, mi sikuelewi kabisaaa