HAYA SASA HAPA NDIPO PATAKUWA HAPATOSHI KESHO KWENYE LOVE FESTIVAL DAR ES SALAAM
KABLA ANGALIA PIA MAMBO YALIVYOKWENDA SEHEMU MBALIMBALI.......
MATIBABU YA MACHO HAPO MAGOMENI NAYO YAMEENDELEA
ANDREW PALAU AKIZUNGUMZA
CHRISTINA SHUSHO AKIIMBA
MAOMBI NI MUHIMU HATA KWENYE MATIBABU YA MACHO
MIWANI BUREEEEE KWA VIJANA NA WAZEE. TUMEPEWA BUREEE TUTOE BUREEEEEEE
MASANJA NAYE AKIWA NA LUBBEN
CHINI NI HUDUMA YA MACHO IKISUBIRIWA NA WATU WENGI HAPO MAGOMENI BAPTIST CHURCH
ALSO SOURCE; http://samsasali.blogspot.com/ AND http://gospelkitaa.blogspot.com/