HUYU ANAITWA ENOCK NI MMILIKI NA PRODUCER WA ECK PRODUCTION
CHINI; ALIYEPIGA GUITAR LA SOLO MWANZO MWISHO WA UKWELI......AKA KAFENO
AKA KAFENO AKIONYESHA HISIA KALI KUWA YESU YUPO JUU::
JUU; HUYU NDIYE FUNDI WA KUINGIZA AMA KUNASA SAUTI VYEMA KABISA KWENYE MITAMBO YA ECK. NI KIJANA MDOGO SANA ILA MAMBO YAKE NI MAKUBWA... ANAITWA AKA BSCHINI; SECOND SOLO NI YOHANA AKIFANYA VITU HAPA CHINI
PRODUCER NA MMLIKI WA STUDIO YA ECK AKIWA NA BASS GUITAR KATIKA MATAYARISHO YA KITU YESU UPO JUU. SIKILIZA BASS ILIVYOPIGWA KITAALAMU HAPO NA BROTHER ENOCK. JINA LAKE NI ENOCK AMBAYE NDILO JINA LA ECK LIMETOKEA.....
ECK NA HISIA KALI
NI ECK PRODUCTION STUDIO YA PALE MAGOMENI MWEMBECHAI.
ANGALIA PICHA NA MATUKIO KWA MAKINI VIJANA KAZINI ATI:
FULL KUWAJIBIKA KUHAKIKISHA KUWA KAZI INAMTUKUZA MUNGU. PICHANI NI ENOCK AKA ECK AKIPIGA BASS GUITARTOA MAONI YA NYIMBO HAPO KWENYE CHAT ROOM MDAU WETU WA IYELELE BLOG