
HII NI KATIKA MTINDO WA KWAITO WATU WANACHEZA SASA
DADA IMEBIDI ALETWE MBELE NAYE ACHANGIE KUMUINUA YESU JUU ZAIDI
IMBA BABA IMBA KAMA HAUTAIMBA TENA ILIMRADI UTUKUFU NI WA YESU
KWA TAARIFA INASEMEKANA PIUS SENYAGWA KESHO AKAIMBA RESTORATION CHURCH YOMBO