Matukio katika picha. Kamera Ya jumapili hii imekuta kongamano la kanisa la kipentekoste la Amani Tabata kwa mchungaji bishop Kameta likihitimishwa Leo. Wahubiri mbalimbali kutoka nje Ya nchi kama afrika Ya kusini na Kenya
walikiwepo toka jumatano wakilihudumia kongamano hilo.