Gospel talent search inayofahamika kama gospel star search kanisa Ya kaskazini mwa tz ilifanyika mkoani arusha tar 27 November 2016 ambapo kulingana na mchanganyiko wa vigezo hatimaye aliyeibuka mshindi ni Kelvin Weber. Huyu alionyesha uwezo hasa kwenye worship. Waimbaji wengine waliochukua nafasi za pili na Tatu ni Elia Mwantondo na Dedan Gerald respectively.