PAUL CLEMENT song imetazamwa kiasi cha
183,168 Viewers kwenye YOU TUBE engine. Ni hatua Nzuri kwa @Paul Clement. Go on young brother!! Go on and never stop.......
Kiukweli kizuri kitajinadisha chenyewe. Nice work and brilliant idea like this will never be lost. Come up with more young bro. Usigope gharama bwana will surely provide....