matukio burudani injili uimbaji maisha sanaa muziki maigizo habari maajabu vichekesho maendeleo mafanikio uchumi lugha maono mahubiri nyimbo biblia siasa

Jan 11, 2017

GRACE VANDERWAAL JINSI ALIVYO MAARUFU NA MAISHA YAKE SASA.

GRACE VANDERWAAL ambaye ndiye mshindi wa American got talent 2016 ni mfano wa kuigwa kwa anavyojituma. Yeye ni mtunzi, mpiga guitar, muimbaji na mburudishaji mwenye sauti mithili Ya tailor swift ambaye ni muimbaji maarufu duniani. Aliudhihirishia umma kuwa ana kipaji pale tangu aingie mashindano kwa kuimba nyimbo zake alizozitunga nwenyewe tu bila kuiga nyimbo ya mtu. GRACE amekuwa milionea Akiwa bado mdogo sana only 12 years. Lakini pia sifa zake za kujishusha na kuwa kama alivyo zimemuongezea umaarufu maradufu. Hii inatufundisha kuwa be yourself and never pretend. GRACE anaishi maisha Ya Kawaida  kabisa japokuwa ni milionea Sasa. Pia tangu mwanzo wa mashindano alionekana na mama yake wakiwa very humble and normal. "Be yourself and let people put you where you deserve". Hongera sana Grace! Utafika mbali zaidi.
www.iyeleleteam.blogspot.com

Angalia hizi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...