NYOTA NJEMA HUONEKANA MAPEMA ASUBUHI. HUYU Ni BRAND MPYA KWENYE GOSPEL. JOEL LWAGA SASA ANA SINGLE INAYOITWA "UNAWEZA". What a song! Sauti yake ni imara sana na inavyoonyesha amekuwa tu behind the scene lakini ni mzoefu mno. This is a new rising gospel star in Tanzania. INGIA YOU TUBE UTAMPATA.
www.iyeleleteam.blogspot.com